Udvidet returret til d. 31. januar 2025

Nchi Itiririkayo Maziwa na Asali(Swahili Edition) - Jaerock Lee - Bog

Bag om Nchi Itiririkayo Maziwa na Asali(Swahili Edition)

Tunapoangalia utaratibu huo wa Kutoka, miaka arobaini nyikani, kuvuka Mto wa Yordani na kushinda mji wa Yeriko na kisha Nchi ya Kanaani, tunaweza kuona safari ya maisha ya kupokea wokovu na kusonga mbele kuelekea ufalme wa mbinguni. Mungu aliwatoa Waisraeli kutoka Misri na akawaongoza hadi Nchi ya Kanaani, Itiririkayo maziwa na asali. Vivyo hivyo, anataka kila mtu awe na imani ya kweli na afurahie pumziko la milele katika ufalme mzuri wa mbinguni. Zaidi ya hayo, anataka kila mmoja wetu awe na imani inayompendeza Mungu ili tuweze kupokea majibu ya kila kitu tunachoomba na tufanye mambo yote kwa uwezo wake.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9791126312597
  • Indbinding:
  • Paperback
  • Udgivet:
  • 22. februar 2024
  • Størrelse:
  • 140x210x12 mm.
  • Vægt:
  • 259 g.
  • BLACK NOVEMBER
Leveringstid: 8-11 hverdage
Forventet levering: 7. december 2024

Beskrivelse af Nchi Itiririkayo Maziwa na Asali(Swahili Edition)

Tunapoangalia utaratibu huo wa Kutoka, miaka arobaini nyikani, kuvuka Mto wa Yordani na kushinda mji wa Yeriko na kisha Nchi ya Kanaani, tunaweza kuona safari ya maisha ya kupokea wokovu na kusonga mbele kuelekea ufalme wa mbinguni. Mungu aliwatoa Waisraeli kutoka Misri na akawaongoza hadi Nchi ya Kanaani, Itiririkayo maziwa na asali. Vivyo hivyo, anataka kila mtu awe na imani ya kweli na afurahie pumziko la milele katika ufalme mzuri wa mbinguni. Zaidi ya hayo, anataka kila mmoja wetu awe na imani inayompendeza Mungu ili tuweze kupokea majibu ya kila kitu tunachoomba na tufanye mambo yote kwa uwezo wake.

Brugerbedømmelser af Nchi Itiririkayo Maziwa na Asali(Swahili Edition)



Find lignende bøger
Bogen Nchi Itiririkayo Maziwa na Asali(Swahili Edition) findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.