Vi bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

Bøger udgivet af Shannel Steven Silwimba

Filter
Filter
Sorter efterSorter Populære
  • af Shannel S Silwimba
    147,95 kr.

    Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai.Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani kuwa siyo ya Kikristo. Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa unakazana na haya, utajikuta ukipokea uwezo wa kufunza wenzi wako: kifo ni nini and wapi kilitokea. Pia utapokea ujuzi wa kimaandiko kujibu kama Mbinguni, Kuzimu na Gehena (Jehanamu) kweli kupo au lah. Ndipo sasa tutakufunulia upi ni urefu wa maisha ya mtu alio pangiwa mtu hapa duniani. Ufupisho huu ni finyu sana, na umeacha mambo mengi tatanishi na tete juu ya suala zima la kifo.

  • af Shannel S Silwimba
    227,95 kr.

    This book, The Doctrine of Prosperity, is part of a larger work that was originally written for the Swahili-speaking church. It explores in depth the origin of Prosperity, as an outcome of the God's Covenants which works by the Blessing.We scrutinize the will of God YHWH to measure the accurateness of this Doctrine. We therefore noticed only two approaches to be appropriate for the entire Swahili speaking Church to achieve this gift by grace. We also looked at Israel past and present giving many examples as of these days confirming The Doctrine of Prosperity.However, the entire Doctrine was settled under the two theological premises: that we receive our prosperity while at rest by faith, or by faith and obedience while at rest. There are much more biblical studies within, which shall change your current perspective regarding wealthy and riches for believers. Nothing you think is an opposition to this Doctrine is not analyzed, clarified, and compared to the early understandings of the Hebrew sages.

  • af Shannel S Silwimba
    292,95 kr.

    This book, Creation of Man, is part of a larger work that was originally written for the Swahili-speaking church. It explores in depth the origin of everything in relation to God's creation. It addresses common questions like why are we here on earth? or what is the purpose of our life? It also compares science and the Bible to prove that humans were created by the Great God Yahweh.To establish the basis of the argument, we started with Great God Yahweh before creation. We deeply look at Him to know humans. We then search for how the spirit and soul of man were created and further investigate the controversial issue of how the man's body was made being both male and female.We won't do justice if we would not overview the fall of man and the wonders of salvation. Here we stop to take a peek at the origin of sin, and unlike what is taught in the church over the centuries, here we borrowed knowledge of Hebrew sages to discuss the firm opposites of sin nature against natural sin. We did much more than what is briefly captured here.

  • af Shannel S Silwimba
    227,95 kr.

  • af Shannel S Silwimba
    117,95 kr.

    Kitabu hiki MNNNMA ni kiberiti kinacho washa moto wa mabadaliko makubwa, na kama siyo mapinduzi ndani ya kanisa lote linalo zungumza Kiswahili. Katika hiki tunaona mtizamo mpya wa theolojia, changamoto katika tafsiri za biblia ndani ya lugha ya Kiswahili, na jipya zaidi ni uhamisho wa waumini toka udini kuelekea mahusiano na Mungu YHWH.Kitabu kinachukulia biblia yote kuwa fumbo la picha, na hivyo kutumia mstari wa wakati uendao mbele katika mduara, kuonyesha mwanzo hadi mwisho wa kila kitu. Na kama hili halitoshi, kinaweka dai tatanishi kwamba, biblia yote iliandikwa kwa ajili ya ukombozi wa Adonai Yeshua Kristo, na kwamba yote humo pamoja na maisha yako yote, ni kwa ajili ya Mungu YHWH kuwa na familia yake tu.Kitabu kinacho dai tete la kuifunua kweli iliyo moja na ya pekee mahali pote, wakati wote, na kwa vizazi vyote. Na katika kunogesha uelewa; kinapinga mafundisho yaliyo zoeleka kwamba, mtu ataishi Mbinguni na Mungu milele, kwa kudai maandiko yote yanasema, ni Mungu YHWH anaye hamia katika Dunia mpya ndani ya Yerushalem Mpya kuishi humo milele na watoto wake watakatifu.Kitabu kinajikita katika malumbano ya kidini na sayansi, na kuitumia teknolojia ya sasa kuelezea dhana nyingi za kiimani. Na kwa kila funzo la kinadharia unalo pewa, pia huonyeshwa jinsi ya kutenda hilo uhesabiwe mstahiki wa ahadi hiyo ya Mungu. Na katika ujasiri mkuu kinaweka dai ya kuwa, hicho ni ujumbe halisi wa Mungu YHWH kwa kanisa lake tukufu linalo zungumza Kiswahili.Ni kitabu ambacho kila anayefunza dini hawezi kukikosa, na kwa kila mtu anaye taka kujua kweli ya mambo ya kiungu, hiki ni kitabu muhimu zaidi sokoni kwa sasa. Tunakiona kutawala malumbano katika kumbi za mihadhara, mimbari za masinagogi, na hata madarasani kufunzwapo dini. Ni kitabu ambacho kitafungua jicho la kila muumini, kwani katika lugha ya Kiswahili hakipo kinacho zama katika kina chake hiki. Kwa kweli uhamsho wa kanisa linalo zungumza Kiswahili sasa umefika wakati wake!

  • af Shannel S Silwimba
    287,95 kr.

    182,95 kr.

    152,95 kr.

    187,95 kr.

    157,95 kr.

    192,95 kr.

    567,95 kr.

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.