Vi bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

Siri ya Kifo - Shannel S Silwimba - Bog

Bag om Siri ya Kifo

Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai. Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani kuwa siyo ya Kikristo. Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa unakazana na haya, utajikuta ukipokea uwezo wa kufunza wenzi wako: kifo ni nini and wapi kilitokea. Pia utapokea ujuzi wa kimaandiko kujibu kama Mbinguni, Kuzimu na Gehena (Jehanamu) kweli kupo au lah. Ndipo sasa tutakufunulia upi ni urefu wa maisha ya mtu alio pangiwa mtu hapa duniani. Ufupisho huu ni finyu sana, na umeacha mambo mengi tatanishi na tete juu ya suala zima la kifo.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9798223677208
  • Indbinding:
  • Paperback
  • Udgivet:
  • 20. Marts 2024
  • Størrelse:
  • 127x203x9 mm.
  • Vægt:
  • 168 g.
Leveringstid: 2-3 uger
Forventet levering: 19. Juli 2024

Beskrivelse af Siri ya Kifo

Hiki kitabu Siri ya Kifo ni sehemu ya kazi kubwa ambayo awali iliandikwa kwa ajili ya Kanisa linalo zungumza Kiswahili. Inachungua kwa kina dhana ya kifo, kuwa siyo mwisho wa yote. Na kama vile jambo la kushangaza kwa jinsi inavyo eleweka na wengi, kwamba kifo ni tukio ambalo kiutabibu linasababishwa na ubongo kukoma utendaji wake, lakini ndani humu tutakuonyesha kifo kuwa ni roho hai.
Tutaifanyia uchochezi itikadi ya toharani kuwa siyo ya Kikristo. Pia tutakuonyesha kifo cha mtu hakijapangwa juu yake. Wakati ukiwa unakazana na haya, utajikuta ukipokea uwezo wa kufunza wenzi wako: kifo ni nini and wapi kilitokea. Pia utapokea ujuzi wa kimaandiko kujibu kama Mbinguni, Kuzimu na Gehena (Jehanamu) kweli kupo au lah. Ndipo sasa tutakufunulia upi ni urefu wa maisha ya mtu alio pangiwa mtu hapa duniani. Ufupisho huu ni finyu sana, na umeacha mambo mengi tatanishi na tete juu ya suala zima la kifo.

Brugerbedømmelser af Siri ya Kifo



Find lignende bøger
Bogen Siri ya Kifo findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.