Vi bøger
Levering: 1 - 2 hverdage
Forlænget returret til d. 31. januar 2025

Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi - Marianne Sophia Wise - E-bog

Bag om Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa bado kwenye kanzu lake refu la kijapani lenye picha za korongo. Alinipokeza glasi ya maji ya barafu. Niliiweka glasi kwenye kinywa changu na kufikiria jinsi mwili wake ulivyo akiwa uchi," Henry ni mfanyakazi katika tango la mafuta katika Bahari ya Kaskazini. Yeye hufanya kazi kwa mfululizo wa saa 12, kila siku, kwa kipindi cha siku 14. Baada ya wiki mbili yeye huenda kwenye nchi kavu ili kupumzika, kutangamana na marafiki zake na wenzake anaofanya nao kazi wasio na familia kama yeye. Yeye hutumia muda wake mwingi usiku na wanawake, akiwapa raha na kuziachia hisia zake kuwa huru. Ifikapo asubuhi, yeye huwaaga na kuondoka. Sheria yake ni rahisi: mwanamke mpya kila usiku. Ni katika tukio moja tu ambapo anakiuka sheria hii. Jina lake ni Clara. Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Marianne Sophia Wise ni mwandishi wa hadithi za ashiki.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726216561
  • Udgivet:
  • 11. september 2019
Leveringstid: Straks på e-mail

Beskrivelse af Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa bado kwenye kanzu lake refu la kijapani lenye picha za korongo. Alinipokeza glasi ya maji ya barafu. Niliiweka glasi kwenye kinywa changu na kufikiria jinsi mwili wake ulivyo akiwa uchi,"
Henry ni mfanyakazi katika tango la mafuta katika Bahari ya Kaskazini. Yeye hufanya kazi kwa mfululizo wa saa 12, kila siku, kwa kipindi cha siku 14. Baada ya wiki mbili yeye huenda kwenye nchi kavu ili kupumzika, kutangamana na marafiki zake na wenzake anaofanya nao kazi wasio na familia kama yeye. Yeye hutumia muda wake mwingi usiku na wanawake, akiwapa raha na kuziachia hisia zake kuwa huru. Ifikapo asubuhi, yeye huwaaga na kuondoka. Sheria yake ni rahisi: mwanamke mpya kila usiku. Ni katika tukio moja tu ambapo anakiuka sheria hii. Jina lake ni Clara.
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Marianne Sophia Wise ni mwandishi wa hadithi za ashiki.

Brugerbedømmelser af Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi



Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.