Vi bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

Mwanamume Mtetezi wa Wanawake - Hadithi Fupi ya Mapenzi - Sarah Skov - E-bog

Bag om Mwanamume Mtetezi wa Wanawake - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Ndoto zilipanuka zaidi katika miaka ya 1960, lakini tulishawishiwa kwamba kila kitu kinawezekana – hata kumtoba profesa wako kwenye dawati lake, wanafunzi wengine wa chuo kikuu wakitembeatembea ndani na nje ya ukumbi bila dalili yoyote." Ilikuwa miaka mingi sana iliyopita, na bado, mwanahabari huru wa Paris hawezi kujizuia kufikiria kuhusu profesa wake wa zamani kila wakati anapokamilisha makala. Yeye hufikiria kuhusu saa asizoweza kusahau alizotumia ofisini mwake, jinsi angemshika kwenye dawati lake, na polepole kumwingia, na kumfanya kuwa na unyevu mwingi zaidi ya awali au wakati wowote ule. Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia hadithi za uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Obsessed with Owen Gray, Car Sex, Eat with Me na Memories of You.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726242843
  • Udgivet:
  • 11. September 2019
Leveringstid: Straks på e-mail

Beskrivelse af Mwanamume Mtetezi wa Wanawake - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Ndoto zilipanuka zaidi katika miaka ya 1960, lakini tulishawishiwa kwamba kila kitu kinawezekana – hata kumtoba profesa wako kwenye dawati lake, wanafunzi wengine wa chuo kikuu wakitembeatembea ndani na nje ya ukumbi bila dalili yoyote."

Ilikuwa miaka mingi sana iliyopita, na bado, mwanahabari huru wa Paris hawezi kujizuia kufikiria kuhusu profesa wake wa zamani kila wakati anapokamilisha makala. Yeye hufikiria kuhusu saa asizoweza kusahau alizotumia ofisini mwake, jinsi angemshika kwenye dawati lake, na polepole kumwingia, na kumfanya kuwa na unyevu mwingi zaidi ya awali au wakati wowote ule.

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia hadithi za uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Obsessed with Owen Gray, Car Sex, Eat with Me na Memories of You.

Brugerbedømmelser af Mwanamume Mtetezi wa Wanawake - Hadithi Fupi ya Mapenzi



Find lignende bøger
Bogen Mwanamume Mtetezi wa Wanawake - Hadithi Fupi ya Mapenzi findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.