Vi bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

Zawadi ya Siku ya Kuzaliwa - Hadithi Fupi ya Mapenzi - Cecilie Rosdahl - E-bog

indgår i LUST serien

Bag om Zawadi ya Siku ya Kuzaliwa - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Nikazifunga nywele zangu na kutafuta viungo vya kutengenezea keki ya siku ya kuzaliwa pamoja na mananasi, makaruni na haluwa. Mananasi yanamfanya awe na radha nzuri wakati ninainyonya dhakali yake, tofauti na vitu vingine kama vile asparaga. Napenda iwe na radha nzuri wakati naimeza." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki. Sesilia Rosdali ni mwandishi na msanii wa Denmark. Alijifunza sanaa katika Shule ya Sanaa ya Denmark ya Det Fynske Kunstakademi, na uandishi wa miswada katika Chuo Kikuu cha Southern Denmark. Sesilia Rosdali amepata ruzuku nyingi kwa ajili ya kazi zake zote mbili yaani kama msanii na kama mwandishi.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726270730
  • Udgivet:
  • 11. September 2019
Leveringstid: Straks på e-mail

Beskrivelse af Zawadi ya Siku ya Kuzaliwa - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Nikazifunga nywele zangu na kutafuta viungo vya kutengenezea keki ya siku ya kuzaliwa pamoja na mananasi, makaruni na haluwa. Mananasi yanamfanya awe na radha nzuri wakati ninainyonya dhakali yake, tofauti na vitu vingine kama vile asparaga. Napenda iwe na radha nzuri wakati naimeza."

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na mtunzi wa Kiswidi Erika Lust. Nia yake ni kuelezea asili ya binadamu na utofauti kwa kutumia hadithi za shauku, urafiki, tamaa na mapenzi katika kuunganisha hadithi zenye nguvu na sanaa inayochochea ashiki.

Sesilia Rosdali ni mwandishi na msanii wa Denmark. Alijifunza sanaa katika Shule ya Sanaa ya Denmark ya Det Fynske Kunstakademi, na uandishi wa miswada katika Chuo Kikuu cha Southern Denmark. Sesilia Rosdali amepata ruzuku nyingi kwa ajili ya kazi zake zote mbili yaani kama msanii na kama mwandishi.

Brugerbedømmelser af Zawadi ya Siku ya Kuzaliwa - Hadithi Fupi ya Mapenzi



Find lignende bøger
Bogen Zawadi ya Siku ya Kuzaliwa - Hadithi Fupi ya Mapenzi findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.