Vi bøger
Levering: 1 - 2 hverdage

FC Mezzi 3: Shuti Mkasi - Daniel Zimakoff - E-bog

bind 3 i FC Mezzi serien

Bag om FC Mezzi 3: Shuti Mkasi

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana! Jake, Nick, Peter, na wachezaji wengine FC Mezzi sasa wapo ligi kuu . kasi yao ni ya haraka, mashambulizi yao hayana mpangilio, na michezo inaonekana kuwa migumu zaidi kuliko hapo awali. Zaidi ya hayo, Nick na Zlatan wanagombana, na ikiwa hawatacheza kama timu, hawatakuwa na nafasi ya kushinda ligi. Je, Jake, ambaye ni nahodha, anaweza kufanya lolote kuhusu hilo? Na vipi kuhusu Ursula na Zlatan? Wanashirikiana? Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Vis mere
  • Sprog:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726254662
  • Udgivet:
  • 27. August 2019
Leveringstid: Straks på e-mail

Beskrivelse af FC Mezzi 3: Shuti Mkasi

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

Jake, Nick, Peter, na wachezaji wengine FC Mezzi sasa wapo ligi kuu . kasi yao ni ya haraka, mashambulizi yao hayana mpangilio, na michezo inaonekana kuwa migumu zaidi kuliko hapo awali. Zaidi ya hayo, Nick na Zlatan wanagombana, na ikiwa hawatacheza kama timu, hawatakuwa na nafasi ya kushinda ligi. Je, Jake, ambaye ni nahodha, anaweza kufanya lolote kuhusu hilo? Na vipi kuhusu Ursula na Zlatan? Wanashirikiana?

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!

Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Brugerbedømmelser af FC Mezzi 3: Shuti Mkasi



Find lignende bøger
Bogen FC Mezzi 3: Shuti Mkasi findes i følgende kategorier:

Gør som tusindvis af andre bogelskere

Tilmeld dig nyhedsbrevet og få gode tilbud og inspiration til din næste læsning.